Wadau wahoji matumizi mikopo ya Serikali
Dar es Salaam. Wakati deni la Serikali likiendelea kuongezeka, wasomi na mchambuzi wa uchumi wamehoji matumizi ya mikopo inayochukuliwa na Serikali, huku pia wakihoji tozo zinazoanzishwa na Seriakali zikidaiwa kuwaumiza maisha ya wananchi. Akiwasilisha bajeti ya Serikali ya mwaka 2024/25, Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba alisema hadi Machi 2024, deni la Serikali lilikuwa zaidi…