Admin

Jaji Mkuu: Mapendekezo Tume ya Haki Jinai yafanyiwe kazi

Dar es Salaam. Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amewataka viongozi wa taasisi za haki jinai kuwahimiza watendaji wao kuisoma taarifa ya Tume ya Haki Jinai ili kuboresha utendaji kazi wao wa kila siku. Julai mwaka 2023, Tume ya Haki Jinai iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan iliwasilisha ripoti yake yenye mapendekezo mbalimbali yanayolenga…

Read More

Bakhresa, MO, GSM wajitosa kuwekeza treni ya SGR

Dar es Salaam. Kampuni sita za Kitanzania ni miongoni mwa kampuni kadhaa ambazo zimeonyesha nia ya kushirikiana na serikali katika kuendesha Reli ya Standard Gauge (SGR). Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kufuatia kutangazwa kwa Kanuni za Matumizi ya Miundombinu ya Reli kwa Watoa Huduma Binafsi za mwaka…

Read More

Miili sita ya wahamiaji yaopolewa baharini

Roma, Italia. Walinzi wa pwani ya Italia wamesema wameopoa miili sita baada ya boti ya wahamiaji kuzama wiki hii kwenye pwani ya Kusini ya Bahari ya Mediterania, huku zaidi ya watu 60 wakiripotiwa kutoweka wengi wao wakiwa ni watoto. Shirika la Habari la AFP limesema watu 12 wameokolewa baada ya mashua hiyo kuzama karibu maili…

Read More

THPS YATOA ELIMU KWA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU HUDUMA ZA AFYA ZINAZOTOLEWA KUPITIA MRADI WA CDC/PEPFAR AFYA HATUA

      Mkurugenzi wa Huduma za Jamii wa Shirika la THPS, Dkt. Appolinary Bukuku akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha siku mbili kati ya THPS na Wahariri na Waandishi wa Habari kilichofanyika Jijini Tanga. Mkurugenzi wa Huduma za Jamii wa Shirika la THPS, Dkt. Appolinary Bukuku akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha siku mbili…

Read More

Kampuni sita za Kitanzania zaonyesha nia kuendesha SGR