Jaji Mkuu awatangazia kiama waajiri, akililia haki za wafanyakazi
Dar es Salaam. Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, ametaka taasisi binafsi na Serikali kuheshimu haki za wafanyakazi, akisema waajiri wanaoshindwa kupeleka michango ya wafanyakazi watashughulikiwa. Jaji Mkuu huyo amesema yupo hatua za mwisho kuchapisha kwenye Gazeti la Serikali (GN) kanuni za kurekebisha sheria ya mwenendo wa madai, ili waajiri wanaoshindwa kupeleka michango ya wafanyakazi…