BRELA YAJIVUNIA KUTOA HUDUMA ZAKE KIRAFIKI, BILA KUSABABISHA TAHARUKI
Na Said Mwishehe, Michuzi TV- Morogoro WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA) umetaja siri ya mafanikio yake ambayo yanaweza kufanya kazi zao bila kusabababisha usumbufu au taharuki kwa jamii. Akizungumza leo Juni 18,2024 wakati akitoa mada kuhusu utoaji wa leseni za biashara kundi A, Mkurugenzi wa Leseni BRELA Andrew Mkapa ametumia nafasi hiyo kueleza…