PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 19,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 19,2024 Featured • Magazeti About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUNI 19,2024 Featured • Magazeti About the author
KAMPUNI ya Kuambiana Investment yandaa Bonanza Kwa ajili ya Kuwakutanisha karibu wateja wao na kuweka Sawa Miili yao Kwa Michezo mbalimbali . Akizungumza na Wanahabari Makao Makuu ya ofisi ya Kuambiana Sinza Jijini Dar es Salaam Meneja wa Kampuni hiyo Anna Minja amesema Wanatambua mchango mkubwa kutoka kwa Wateja wao ambao wamekuwa wakishirikiana nao kwa…
Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo amesema kuwa Benki hiyo imeshuhudia ongezeko kubwa la mapato ya jumla ya Shilingi Bilioni 19.27 sawa na asilimia 11.19 hadi kufika Bilioni 19. 21, kwa mwaka 2023. ikilinganishwa na mwaka 2022 ambapo mapato yalikuwa Bilioni 172.83 sawa na asilimia 1.72….
Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameanza mjadala wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2024/25 wakionyesha udhaifu na uimara wake, huku wakitaka isiishie kwenye makaratasi. Wakichangia bajeti hiyo ya Sh5.182 trilioni iliyowasilishwa barazani Juni 13, 2024 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Saada Mkuya, baadhi ya wawakilishi wamesema bajeti hiyo ni…
Arusha. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe anatarajiwa kuongoza operesheni ya siku 21 ya kukijenga chama kuanzia ngazi ya chini maarufu “Grassroot Fortification (GF) itakayoanza Juni 22, 2024. Operesheni hiyo inatarajiwa kufanyika katika majimbo 35 yaliyopo mikoa ya Kanda ya Kaskazini ambayo ni Arusha, Manyara, Tanga na Kilimanjaro. Akizungumza na…
Arusha. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika inayoshughulikia Sayansi ya Afya (ECSA-HC) yatakayofanyika Juni 19, 2024 jijini Arusha. Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Arusha, Frank Mbando amebainisha hayo leo Juni 18, 2024 wakati akizungumza na…
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo amesema kuwa Benki hiyo imeshuhudia ongezeko kubwa la mapato ya jumla ya Sh Bilioni 19.27 sawa na asilimia 11.19 hadi kufika Sh Bilioni 19. 21, kwa mwaka 2023, ikilinganishwa na mwaka 2022 ambapo mapato yalikuwa Sh Bilioni 172.83 sawa na asilimia 1.72….
Geita. Upande wa utetezi katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu ya Geita (GGML), Milembe Suleman umeiomba Mahakama Kuu Kanda ya Geita kutopokea kielelezo cha shahidi wa 13 ambacho ni maelezo ya onyo ya mshtakiwa wa pili, Safari Lubingo. Pingamizi limetolewa na wakili wa utetezi, Laurent Bugoti anayemtetea Lubingo akidai…
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa miezi sita kwa wizara na taasisi zote za umma zinazodaiwa na vyombo mbalimbali vya habari kuhakiki madeni na kukubaliana namna ya kuyalipa. Agizo hilo limetokana na kilio cha muda mrefu cha vyombo vya habari kwa Serikali cha kutaka madeni yalipwe ili kuvifanya vitekeleze wajibu wake…
Dar/Kagera. Michakato ya kuelekea uchaguzi imehusishwa kama moja ya sababu za mauaji ya watu wenye ualbino, huku wadau wakitaja kasoro zilizopo katika kuyakabili matukio hayo. Miongoni mwa kasoro zilizoainishwa na wadau ni uwepo wa shughuli holela za uganga wa jadi na kukosekana mrejesho wa hatua zinazochukuliwa dhidi ya wanaohusika. Wadau watoa lawama kwa wananchi wakisema…