IDF ilionywa kabla ya kutokea shambulizi la Oktoba 7 – DW – 18.06.2024
Kwa mujibu wa shirika la habari la Kan, kitengo cha kijasusi cha jeshi la Israelkiliandaa muhtasari mnamo mwezi Septemba, mwezi mmoja kabla ya shambulio la Hamas ambalo lilichochea vita vinavyoendelea katika Ukanda wa Gaza. Limesema katika ripoti yake kwamba muhtasari huo wa kitengo nambari 8200 cha ujasusi, ulijumuisha maelezo kuhusu wapiganaji wa Hamas waliokuwa wakifanya…