Nanyaro aokoa wanafunzi kutembea kilomita 3 kuchota maji
MDAU wa maendeleo mkoani Songwe, Ombeni Nanyaro amechangia kiasi cha Sh. milioni moja kwa ajili ya kuunganisha maji na kukarabati bweni la wanafunzi wa shule ya sekondari Kamsamba wilayani Momba mkoani Songwe. Anaripoti Ibrahim Yassin, Songwe… (endelea). Nanyaro ametoa kiasi hicho cha fedha baada ya kutembelea shule hiyo inayomilikiwa na jumuiya ya wazazi (CCM) na…