Vikosi vya Israel vyaongeza uvamizi wa Rafah, na kuua 17 katika kambi kuu.
Mashambulizi ya anga ya Israel siku ya Jumanne yalisababisha vifo vya Wapalestina 17 katika kambi mbili za kihistoria za Ukanda wa Gaza na vifaru vya Israel vikaingia zaidi katika mji wa Rafah kusini mwa eneo hilo, wakaazi na matabibu walisema. Wakaazi waliripoti mashambulizi makubwa ya mabomu kutoka kwa vifaru na ndege katika maeneo kadhaa ya…