MAFANIKIO YA TANROADS KWENYE UJENZI WA MIUNDOMBINU MKOANI KAGERA
Mafanikio hayo hii leo yanaangazia Wakala wa Barabara TANROADS Mkoani Kagera mkoa ambao unasimamia mtandao wa barabara wenye urefu wa kilomita 1,966.29 ambapo Kati ya hizo barabara kuu ni Kilomita 861.59, barabara za mkoa ni kilomita 1,053.75 na barabara za wilaya ni kilomita 50.95. Kama unavyofahamu licha ya TANROADS kusimamia matengenezo ya barabara na madaraja,…