Admin

Katibu wa CCM Wilaya ya Mkuranga afariki dunia

Tanga. Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, Salehe Kikweo amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu Hospitali ya Mji Handeni, Mkoa wa Tanga. Taarifa ya kifo hicho imetolewa na Katibu wa CCM, Wilaya ya Handeni, Mayassa Kimbau leo Jumanne Agosti 26, 2025 kupitia mitandao ya kijamii na kueleza Kikweo amefariki dunia…

Read More

Chrome City Yapagawisha Hustlers Kariakoo na Manzese Kuelekea Uzinduzi Agosti 30, Tanganyika Packers – Kawe.

Mishemishe na harakati za Kariakoo na Manzese zilinoga kipekee kwa ‘vibe’ la aina yake jana baada ya timu ya Chrome City kuingia mtaani kuungana na mashujaa halisi wa uchumi wa mijini Tanzania – hustlers. Kuanzia waendesha bodaboda, mama lishe, wauzaji wa nguo, wauzaji wa vifaa vya umeme, mpaka wauza matunda – kampeni hii inawatambua na…

Read More

Vodacom kuwapa kipaumbele zaidi watu ushirikiano ESG

Dar es Salaam. Kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuweka watu mbele katika utekelezaji wa ushirikiano wake wa mfumo wa Mazingira, Jamii, na Utawala Bora (ESG). Hayo yamebainishwa leo Jumanne, Agosti 26, 2025 kwenye uzinduzi wa mfumo jumuishi wa Mazingira, Kijamii na Utawala (ESG) wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania…

Read More

Othman: Lengo letu ni amani ya kudumu Zanzibar

Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema malengo ya chama hicho ni kuifanya Zanzibar kuwa na amani na utulivu wa kudumu na siyo kuishia kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Masoud ameyasema hayo jana, Jumatatu Agosti 25, 2025 alipozungumza na ujumbe wa kamati ya mambo ya nje ya Bunge la Marekani,…

Read More

Profesa Kitila: Mimi ni mtumiaji mzuri Vodacom na Mwananchi

Waziri wa Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amesema anaziheshimu na kuzithamini kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kwa umuhimu wake kijamii na kitaifa.  Katika kuthibitisha hilo amesema yeye ni ni msomaji mzuri wa habari zinazotolewa na kampuni ya Mwananchi kila uchwao na pia ni mtumiaji wa Vodacom…

Read More