Vumbi ujenzi wa barabara linavyotesa wananchi wa Gongolamboto
Dar es Salaam. “Kwa hali ilivyo, barabara ilivyojaa vumbi, huwa natembea na nguo nyingine katika begi, nikifika ofisini nabadilisha ili niwe huru kazini.” Ndivyo anavyoelezea Alfred Zacharia, mkazi wa Kitunda, jijini hapa na mtumiaji wa barabara ya Gongolamboto hadi Posta yenye urefu wa kilometa 23.33 inayoendelea kujengwa njia ya magari yaendayo haraka. Ujenzi huo unaoendelea…