Admin

Temeke yaunda mabaraza kukabili ukatili kwa watoto

Dar es Salaam. Ili kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa watoto, Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, imeunda mabaraza 102 katika mitaa yake. Kupitia mabaraza hayo watoto katika mitaa husika wanakutana na kujadiliana kwa pamoja kuhusu changamoto zinazowakabili na kupatiwa elimu ya namna ya kukabiliana nazo. Hayo yameelezwa leo Jumapili ya Juni 16, 2024 na Meya…

Read More

Mradi wa maji kunufaisha wakazi 12,000 Magu

Magu. Wakazi 12,000 wa Kijiji cha Kabila wilayani Magu, Mwanza wataanza kunufaika na mradi wa maji uliotekelezwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) na shirika lisilo la kiserikali la (AFRIcai), ikiwa ni jitihada za kuwapelekea maji safi na salama wananchi wa eneo hilo. Mradi huo wenye thamani ya Sh215 milioni, unahusisha ufungaji wa pampu…

Read More

WIZARA YAITAKA NIRC KUSIMAMIA MAONO YA RAIS DK.SAMIA

Na Mwandishi Wetu NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Dkt. Hussein Mohamed Omar, amesema matarajio ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona sekta ya kilimo inaleta mageuzi ya kiuchumi nchini. Amesema kutokana na hatua hiyo ni lazima kufanyia kazi changamoto zilizopo katika sekta ya umwagiliaji ili kuwa na matokeo hayo. Dkt. Hussein ameyasema hayo…

Read More

Makumbusho kubwa ya Mwalimu Nyerere kujengwa Dodoma

Dar es Salaam. Mwanasiasa mkongwe, Paul Kimiti ameipongeza Serikali kwa kuitengea Sh1 bilioni Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu JK Nyerere ili kuanza ujenzi wa makumbusho kubwa ya kiongozi huyo mkoani Dodoma. Fedha hizo ni sehemu ya bajeti ya mwaka 2024/25 iliyoombwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa lengo la kuboresha makumbusho ya Mwalimu Julius…

Read More

Nyota Simba aangua kilio uwanjani

NAHODHA wa timu ya vijana ya Simba chini ya miaka 17, Abdul Salum ‘Camavinga’ ameangua kilio  baada ya timu yake kupoteza mchezo wa kwanza katika ligi hiyo dhidi ya Yanga kwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Camavinga ambaye alionyesha kiwango bora katika mchezo huo, ilibidi abembelezwe na wachezaji wenzake pamoja na benchi…

Read More

Kilosa yajizatiti kuzuia ndoa za utotoni

Kilosa. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka amesema katika kupambana na changamoto ya ukatili kwa watoto, Serikali wilayani humo imefanikiwa kuzuia uozeshwaji wa watoto wa kike walio chini ya miaka 14 takribani wanane. Amesema watoto hao walipangwa kuozeshwa na wafugaji wa jamii ya Kimasai kwa mahari ya ng’ombe. Akizungumza na Mwananchi…

Read More

KASEKENYA AAGIZA KUWEKWA ALAMA ZA TAHADHARI MLIMA BUSUNZU

Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya amemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Kigoma kwa kushirikiana na Mkandarasi STECOL kuhakikisha wanaweka alama za tahadhari na kukagua mara kwa mara eneo la Mlima Busunzu sehemu ilipotokea changamoto ya kuharibika kwa kipande cha barabara chenye urefu wa takriban mita 100, wakati wakisubiri utatuzi wa…

Read More