Admin

‘Watumishi ZRA, tendeni haki jiepushe na rushwa’

Unguja. Watumishi wa Mapato Zanzibar (ZRA) wametakiwa kufanya kazi kwa weledi na kuepuka rushwa katika kazi zao za ukusanyaji wa mapato. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZRA, Profesa Hamed Rashid Hikmany, ametoa kauli hiyo Juni 16, 2024 kwenye semina maalumu ya watumishi wa mamlaka hiyo kuhusu maadili kwa watumishi wa umma na kupambana na…

Read More

Mdhamini aitoa hofu Tanzania Prisons

MKURUGENZI wa kampuni ya Bens Agro Star, Patrick Mwalunenge amewatoa hofu Tanzania Prisons kuwa ahadi alizotoa kwenye mkataba wa kuidhamini timu hiyo atazitekeleza na kuongeza mkataba mpya msimu ujao. Oktoba 29 mwaka jana, Prisons ilisaini mkataba wa udhamini wa kampuni hiyo kwa thamani ya Sh 150 milioni, ambapo Mwalunenge akiahidi bonasi na ofa mbalimbali. Bonasi…

Read More

Dk Mpango ashiriki mazishi ya hayati Chilima wa Malawi

Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amemuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Malawi, hayati Saulos Klaus Chilima. Ibada ya Mazishi hayo imefanyika leo Jumapili, Juni 16, 2024 katika Uwanja wa Taifa wa Bingu uliopo Lilongwe nchini Malawi. Akitoa salamu za rambirambi,…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Kakolanya katikati ya Ihefu na Namungo

KIPA Beno Kakolanya aliyekuwa akiidakia Singida Fountain Gate kabla ya kujiondoa kinyemelea mwishoni mwa msimu uliomalizika hivi karibuni, inadaiwa anagombewa na Ihefu na Namungo zote za Ligi Kuu Bara. Inaelezwa kuwa, kuna maamuzi magumu yanaweza yakafanyika kwa kipa huyo baada ya kuwepo kwa taarifa za kusaini Ihefu, lakini msimu ujao huenda akacheza Namungo inayodaiwa inamtaka…

Read More

ADHABU MBADALA KUPUNGUZA MSONGAMANO GEREZANI

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema Serikali imefanikiwa kupunguza msongamano katika Magereza mbalimbali nchini mara baada ya kuanza kutekeleza adhabu mbadala kwa wafungwa wanaotumikia adhabu za nje ya Magereza ambapo takriban wafungwa 2000 kila siku wanatumikia adhabu za nje Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Huduma za Uangalizi Wizara ya Mambo ya…

Read More

Wajasiriamali kituo cha Magufuli walalama kukosa wateja

Dar es Salaam. Wajasiriamali wanaofanya shughuli zao kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli jijini hapa wameeleza wamiliki wa mabasi kutoshusha na kupakia abiria katika kituo hicho kunavyosababisha biashara zao kudorora. Wasema biashara zao zinategemea wateja ambao ni abiria, kutokana na mabasi kutoingia kituoni hapo wanakosa wateja na mapato yao yanashuka, hivyo kuiomba Halmashauri ya…

Read More

WAFUGAJI NCHINI WATAKIWA KUFUGA KISASA KULETA MAENDELEO

*Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeandaa mpango wa mageuzi ya sekta ya mifugo ambao utasaidia kupata ufumbuzi wa changamoto zinazoikabili sekta ya mifugo nchini. Ameitaka Wizara ya Mifugo na Uvuvi kubuni mbinu na mikakati ya kuondokana…

Read More

Silinde atoa ‘dawa’ mgogoro shamba la mbegu Ngaramtoni

Arusha. Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde ameuagiza Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA), kuhakikisha kandarasi ya kuweka uzio katika shamba la mbegu lililopo eneo la Ngaramtoni, wilayani Arumeru inatangazwa haraka. Amesema hiyo inaweza kuwa dawa ya kusaidia kumaliza au kuepusha migogoro ikiwemo ya uvamizi wa shamba hilo. Silinde ametoa maagizo hayo leo Jumapili Juni…

Read More