Admin

Sababu tano zilizoipa Simba ubingwa WPL

Msimu wa 2023/2024 kwa wanawake ulimalizika juzi wakati ambapo Simba Queens ilifanikiwa kutwaa ubingwa bila kupoteza mchezo wowote. Simba ilichukua ubingwa huo wiki moja kabla ligi haijamalizika jijini Mwanza baada ya kuichakaza Alliance Girls kwa mabao 3-0 na kukata tiketi ya kushiriki michuano ya kimataifa kwa ajili ya msimu ujao. Timu hiyo ilibeba ubingwa kwenye…

Read More

Hizi hapa sifa za baba bora

“Inawezekana vipi nyumbani nawaacha watoto na mama yao halafu ikitokea wamefanya makosa anashindwa kuwaadhibu anasubiri hadi mimi nirudi. Unarudi usiku unapewa kesi ya mtoto iliyofanyika tangu asubuhi unalazimika kuadabisha ili akae kwenye mstari. “Hili nimelifanya kwa muda mrefu ila naona hatari yake, watoto watanichukia yani mimi ndiyo naonekana katili halafu mama yao ni mtu mwema…

Read More

Simba yatua Cameroon kusaka kipa, Yanga yamkomalia Kinzumbi

BAADA ya kudaiwa kumalizana na Joshua Mutale kutoka Zambia, mabosi wa Simba umeanza kumfuatilia kiungo mkabaji wa Rivers United, Augustine Okejepha ili atue kuiboresha timu hiyo msimu ujao. Kiungo huyo (20), inadaiwa anaonwa ni chaguo sahihi Simba kwa ajili ya msimu ujao, japo timu mbalimbali zimeonyesha kuvutiwa naye ikiwemo, FC Ural ya Urusi inayoshiki Ligi…

Read More

TPA yaeleza mchanganuo wa gawio ililolitoa Serikalini

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), imesema kiwango cha gawio ililolitoa katika mwaka wa fedha 2018/19 kiasi cha Sh480 bilioni kilihusisha bakaa ya magawio ya miaka kitano ya fedha iliyopita. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema Sh153.9 bilioni iliyoitoa kama gawio kwa Serikali imetokana na asilimia 15 ya mapato yake ghafi ya robo…

Read More

Watoto wataka mwarobaini wa vitendo vya ukatili dhidi yao

Arusha. Watoto wameitaka Serikali na wadau wa maendeleo ya jamii kutafakari na kutathimini upya mwarobaini wa kutokomeza vitendo vya ukatili wanavyokumbana navyo. Wamesema vitendo hivyo vinawaathiri makuzi yao ya kimwili, kiakili na kiafya na ni hatari kwa hatma ya Taifa la kesho linalowategemea kuja kuendeleza nchi katika nyanja za kisiasa, kidini, kijamii, kiutamaduni na kiuchumi….

Read More

Tatizo Simba lipo hapa, mastaa wafunguka

HAKUNA ubishi hali ndani ya klabu ya Simba sio shwari. Misimu mitatu mfululizo ya kutoka kapa katika michuano ya Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho ni mambo yaliyochafua hali ya hewa Msimbazi. Kumaliza nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu iliyomalizika hivi karibuni na kukosa tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika ni…

Read More