Admin

Ajira chanzo wanafunzi kukimbia baadhi ya kozi vyuoni

Dar es Salaam. Wakati idadi ya udahili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza ngazi mbalimbali vyuoni mwaka 2023/2024 ukishuka kwa asilimia 22.3 ikilinganishwa na mwaka uliotangulia, madini na sayansi ya dunia, sayansi ya maisha, utalii na ukarimu zinaongoza kwa kukimbiwa na wanafunzi. Hiyo ni baada ya takwimu kuonyesha kuwapo idadi ndogo ya wanafunzi wanaochagua kusoma…

Read More

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI MALAWI KUSHIRIKI MAZISHI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, Lilongwe nchini Malawi ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Malawi Hayati Dkt….

Read More

Tabora, Biashara kinawaka leo kuisaka Ligi kuu

ACHANA na michuano ya Euro 2024 inayoendelea huko Ujerumani, unaambiwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, mjini Tabora kuna bonge la mechi la kuamua timu ya 16 ya kucheza Ligi Kuu Bara msimu ujao. Wenyeji Tabora United iliyofumuliwa bao 1-0 ugenini na Biashara United ya Mara itakuwa na dakika 90 za kuamua…

Read More

Wanajeshi wanane wauawa kwenye mlipuko Israel

Gaza. Wanajeshi wanane wa Israel wameuawa katika mlipuko uliotokea kusini mwa Gaza jana Jumamosi Juni 15,2024, Jeshi la nchi hiyo (IDF) limesema vifo hivyo ni mojawapo ya hasara kubwa zaidi katika vita yake na wanamgambo wa Hamas. Kwa mujibu wa IDF, wanajeshi hao wameuawa wakati gari la kivita la Namer walilokuwa wakisafiria kulipuka karibu na…

Read More

WALIOVAMIA ENEO LA NSSF KUANZA KUONDOLEWA

Hatimaye waliovamia ardhi ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kuanza kujenga makazi katika Mtaa wa Malela Kata ya Toangoma, Temeke Dar es Salaam wataanza kuondolewa rasmi katika maeneo hayo kuanzia tarehe 18 Juni 2024. Hatua hiyo ni utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe….

Read More

Yanga yazindua kitabu cha historia

YANGA SC, jana usiku ilizindua kitabu kinachoonyesha historia nzima ya klabu hiyo tangu kuanzishwa kwake kilichopewa jina la Klabu Yetu, Historia Yetu. Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa michezo sambamba na viongozi wa Serikali huku mgeni rasmi akiwa Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko. Akizungumza katika uzinduzi wa…

Read More

Miiko na nguzo za ndoa (2)

Leo tunaendelea tulipoishia kuhusiana na miiko na nguzo za ndoa. Karibuni tuendelee. Taaluma na taasisi yoyote lazima iwe na maadili ya kufanya ifanikiwe na kuheshimika. Ndoa kadhalika, lazima iwe na maadili vinginevyo haitafanikiwa au kuimarika. Kama ilivyo masharti ya udereva au uongozi, maadili ni nyenzo zinawezesha wanandoa kujifunza nini wafanye au wasifanye na kwanini. Maadili,…

Read More

NJOMBE YAPOKEA MWENGE, LUDEWA YAANZA KUUKIMBIZA.

Mwenge wa Uhuru umepokelewa rasmi Mkoani Njombe katika Wilaya ya Ludewa ukitokea mkoani Ruvuma ambapo katika mkoa wa Njombe utakimbizwa Km. 726 na kupitia miradi yenye thani ya Tsh. Bil. 15.9. Wilaya ya Ludewa ndiyo Wilaya ya kwanza kuanza kuukimbiza mwenge huo katika mkoa wa Njombe ambapo itakimbiza umbali wa Km. 137 mpaka kukabidhiwa kwake…

Read More

RC Chalamila ampeleka mkewe Simba!

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewaachana mbavu watu kwa vicheko baada ya kuigawa familia yake pande mbili za Yanga na Simba. RC Chalamila katika kuliweka wazi jambo hilo amesema kwamba kuanzia leo mkewe atakuwa anaishabikia Simba wakati yeye akiendelea kusalia Yanga ambapo kauli yake hiyo iliwafanya watu kuangua kicheko. Hayo yamejiri…

Read More