MHANDISI ATAKAYEZEMBEA USIMAMIZI WA MRADI KUWA CHINI YA KIWANGO ATAWAJIBIKA – DC MGENI
NA WILLIUM PAUL, SAME. MKUU wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Same Jimson Mhagama kuhakikisha Mhandisi yeyote ambaye atazembea kwenye usimamizi wa mradi ukawa chini ya kiwango mtaalam huyo awajibishwe kufanya maboresho kwa gharama zake kwenye huo mradi na sio Halmashauri kuingia gharama za maboresho yake. Ameeleza hayo…