Kamati ya kupinga ukatili wa kijinsia yalia ndoa nyingi kuvunjika na kusababisha ukatili kwa watoto.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa wananwake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) mkoa wa Njombe Scholastika Kevela ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya kupinga ukatili wa kijinsia kitaifa amewataka vijana kuwa na machaguo sahihi kabla ya kuingia kwenye ndoa ili kupunguza wimbi kubwa la ndoa kuvunjika na kusababisha ukatili mkubwa unaotokea kwa watoto. Ametoa…