Admin

Kocha wa zamani Simba, atua Pamba Jiji

KOCHA wa zamani wa klabu za Simba na Tabora United, Goran Kopunovic ametambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa timu iliyopanda Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao, Pamba Jiji akipewa mkataba wa mwaka mmoja. Akizungumza na Mwanaspoti, Meneja wa Pamba, Ezekia Ntibikeha amesema timu hiyo imempa Goran mkataba wa mmoja wenye kipengele kumuongeza iwapo atafanya kweli…

Read More

ZAIDI YA WASICHANA 2000 KUTOKA SHULE ZA SEKONDARI KUNUFAIKA NA MRADI WA ‘CODE LIKE A GIRL’ KUHAMASISHA MASOMO YA SAYANSI

 ZAIDI ya wasichana 2000 wenye umri kati ya miaka 14-18 kutoka shule za sekondari zilizopo kutoka mikoa ya Mwanza,Mbeya Arusha,Dodoma na Dar-es-saalam wanatarajia kunufaika na mradi wa ‘Code Like a girl’ wenye lengo la kuhamasisha masomo ya Sayansi, Hisabati na Teknolojia(STEM). Akizungumza wakati wa ufundishaji wa masomo hayo jana katika chuo cha Ualimu Butima,Mratibu wa…

Read More

Aggy Simba, Dokta Moo wafungiwa Simba

Wanachama maarufu wa Simba, Agness Daniel ‘Aggy Simba’ na Mohamed Hamisi ‘Dk Moo’ wamefungiwa na Sekretarieti ya klabu hiyo kujihusisha na masuala yote ya timu hiyo kutokana na malalamiko mengi ya kimaadili. Sekretarieti ya Simba imewafungia wanachama hao  hadi pale Kamati ya Maadili itakavyoamua vinginevyo. Katika taarifa ya Simba  kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo…

Read More

Muuguzi matatani, baada ya mama kujifungua pasipo usaidizi

Kigoma. Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza imemsimamisha kazi muuguzi katika Zahanati ya Basanza, Alex Lyimo kupisha uchunguzi baada ya kuhusishwa na malalamiko ya kumuacha Prisca Makenzi kujifungua bila msaada wake akiwa zamu Juni 9, 2024. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya video kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha Prisca (17) anayedaiwa kujifungua bila msaada wa mtoa…

Read More

THRDC yahamasisha majukwaa ya watoto watetezi shuleni

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeanza kuwajengea uwezo watoto waweze kupata ujuzi wa kutetea haki zao kwa sababu ndiyo njia pekee ya kujilinda. Akizungumza Juni 14,2024 Mratibu Taifa wa THRDC, Onesmo Olengurumwa, amesema watoto wengi hawafundishwi haki za binadamu na hawajui haki zao hali inayochangia kwa…

Read More

Walimu wajengewa uwezo usimamizi elimu

Dar es Salaam. Walimu wapatao 47 wa halmashauri nne za Mkoa wa Lindi wamehitimu shahada (diploma) ya Usimamizi na Utawala wa Elimu (Dema) iliyofadhaliwa na Mradi wa Foundations for Learning (F4L), wakisoma kwa miaka mwili kwa njia ya mtandao na darasani. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Juni 15, 2024 na Taasisi ya Maendeleo ya Elimu ya…

Read More