Ramaphosa achaguliwa tena kuwa rais Afrika Kusini
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amechaguliwa na wabunge wa nchi hiyo kuanza muhula wa pili madarakani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Uchaguzi huo wa rais umekuja baada chama cha Ramaphosa cha African National Congress, ANC, kuingia makubaliano na vyama vingine kuunda serikali ya umoja wa kitaifa. Ramaphosa amechaguliwa kwa wingi mkubwa wa kura…