Mkwabi avunja ukimya Simba, afichua shida iliopo
WAKATI hali ya sintofahamu ikiendelea ndani ya Simba ikiwamo kujiuzulu kwa baadhi ya viongozi, Mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Swedi Mkwabi amevunja ukimya na kusema kinachoenelea sio sahihi na kuwataka viongozi wote kukaa chini na kumaliza tofauti zao ili kujenga umoja. Hivi karibuni wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba akiwamo mwenyekiti wake, Salim…