VIDEO: Polisi Moshi wadaiwa kuua mtuhumiwa kwa kipigo
Moshi. Kilio cha washukiwa wa uhalifu kufariki mikononi mwa polisi, kinazidi kulitikisa Jeshi la Polisi, baada ya kutokea tukio mkoani Kilimanjaro, kwa mkazi wa Kijiji cha Mvuleni Newland, Wilaya ya Moshi, Joseph Zakayo, kudaiwa kuuawa kwa kipigo. Taarifa kutoka kwa baadhi ya ndugu na kutoka ndani ya Jeshi la Polisi, zinadai kuwa mtuhumiwa huyo wa…