Washirika wa muuza unga Shikuba wakwaa kisiki, sasa kulipa Sh14 bilioni
Mtwara. Wamekwaa kisiki. Haya ndiyo maneno unayoweza kuelezea namna vinara wa wawili wa kimataifa wa usafirishaji wa dawa za kulevya, walivyokwaa kisiki kortini kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela na kulipa faini ya Sh14.2 bilioni. Hukumu hiyo imetolewa Juni 11, 2024 na jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani Tanzania iliyoketi Mtwara,…