SBL yakabidhi mradi wa maji kwa wakazi 12,000 kijiji cha Kabila, Magu
KAMPUNI ya Bia Serengeti na shirika lisilo la kiserikali, African Community Advancement Initiative (AFRIcai) wamezindua mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 215 katika Kijiji cha Kabila wilayani Magu mkoani Mwanza ikiwa ni jitihada za kuwapelekea maji safi na salama wananchi wa eneo hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mwanza … (endelea). Ukiwa na uwezo kwa kuhudumia wakazi…