Bajeti 2024/25 ipunguze matumizi ya taslimu kuongeza mapato
Wakati mapendekezo ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2024/2025 yanasomwa leo, moja ya matarajio ni ya wadau ni kuunda sheria ya kupunguza matumizi ya fedha taslimu nchini. Pia, inatarajiwa Serikali itakuja na mkakati wa kupunguza utitiri wa kodi kama zilivyolalamikiwa na wabunge. Wabunge kadhaa, ikiwamo Kamati ya Bunge ya Bajeti wanatarajia ushauri wao…