Admin

OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAWAPIGA MSASA MAWAKILI WA SERIKALI

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali iliratibu na kuendeshamafunzo kwa Mawakiliwa Serikali.Mafunzo hayo yalilenga kuwajengea uwezo Mawakili kwenyemasuala mbalimbali yanayohusu sheria ikiwemo Uandishi washeria, mambo muhimu ya kuzingatia kwenye Mikataba naMakubaliano baina ya Nchi au Taasisi, pamoja na mambo yakuzingatia katika kuishauri Serikali kwenye nyanja ya Sheria. Mafunzo hayo yalifanyika Jijini Dodoma hivi karibuni nakuhudhuriwa…

Read More

Promota pambano la Mwakinyo afungiwa

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limemfungia promota Shomari Kimbau kujihusisha na shughuli za mchezo wa ngumi kwa kipindi cha miaka miwili. Mbali na Kimbau, BMT pia imeifungia Taasisi ya Ukuzaji wa Mchezo wa Ngumi iitwayo Promosheni Golden Boy Boxing yenye usajili namba 72 kutojihusisha na mchezo huo kutokana na kushindwa kufuata utaratibu wa Kamisheni…

Read More

Dk Mwinyi afanya mabadiliko ya viongozi Wizara ya Katiba

Unguja. Rais wa Zanzibar,  Dk Hussein Mwinyi amefanya mabadiliko ya wakurugenzi watatu katika Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo Juni 12, 2024 ikiwa imesainiwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Said imemtaja Bakar Khamis Muhidin kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali watu. Awali alikuwa Mkurugenzi wa…

Read More

USHINDI NI WAKO LEO! CHEZA KASINO USHINDE MAMILIONI

  WASHINDI 40 wanasubiriwa kutambulishwa, na kujishinidia Mamilioni na mibonasi kibao ya kasino ya mtandaoni, bado promosheni ya Expanse Tournament inaendelea huku ikitoa nafasi kwa washiriki wote kucheza. Jisajili Meridianbet kuwa bingwa wa shindano hili. MCHANGANUO WA ZAWADI.Expanse Tournament inatoa mgao wa mamilioni kwa wachezaji wa kasino ya mtandaoni, kuna bonasi za kasino, mizunguko ya…

Read More

WAKURUGENZI, MAAFISA ELIMU NA MAAFISA UTUMISHI SHIRIKIANENI KUTATUA KERO ZA WALIMU NCHINI

Naibu katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI (Elimu) Dkt Charles Msonde amewaelekeza wakurugenzi wa Halmashauri kote nchini kushirikiana na maafisa Elilmu na maafisa Utumishi wa Halmashauri kutatua kero mbali mbali zinazowakabili walimu kote nchini. Dkt. Msonde ametoa maelekezo hayo katika kikao cha Pamoja kati ya walimu wa shule za msingi na sekondari, Wakuu wa Shule…

Read More

Marekani yasaka fursa uwekezaji sekta ya nishati Tanzania

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amekutana na Naibu Waziri wa Nishati wa Marekani, David Turk kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo uwekezaji katika sekta ya nishati nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Mkutano huo umefanyika leo tarehe 12 Juni 2024 jijini Dar es Salaam na kubainisha maeneo kadhaa ya uwekezaji ikiwa ni pamoja na…

Read More

Safari treni ya SGR kuanza Dar-Moro Juni 14

Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kuanza kwa safari za treni ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro kuanzia Ijumaa ya Juni 14, 2024. Kuanza kwa safari hizo kunafanyika karibu wiki mbili kabla ya siku ambayo Rais Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi safari ya treni hiyo, Juni 25, mwaka huu….

Read More