Admin

SPOTI DOKTA: Stars walikuwa timamu

USIKU wa Jumanne ulikuwa mzuri kwa timu ya taifa, Taifa Stars mara baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya timu ya taifa ya Zambia ndani ya dimba la Levy Mwanawasa katika jiji la Ndola. Kwa ushindi huo wa bao la mapema dakika ya 5 lililofungwa na Waziri Junior Shentembo unaiweka Taifa Stars…

Read More

Dk Mwinyi: Mazingira mazuri yamewavutia wawekezaji

Unguja. Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amesema mazingira mazuri na miundombinu bora ndio inamfanya mwekezaji kuwekeza fedha zake, hivyo Serikali itafanya kila linalowezekana kuendelea kuboresha mazingira kukuza uchumi. Dk Mwinyi ametoa kauli hiyo leo Jumatano Juni 12, 2024 wakati akizindua Hoteli ya The Mora inayomilikiwa na Kampuni ya Tui Group Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja. Katika kuhakikisha…

Read More

KITUO CHA POLISI MKIWA KUKAMILIKA

MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameihoji serikali ni lini itaunga mkono jitihada za wananchi,wadau na Mbunge kupitia mfuko wa Jimbo katika ujenzi wa Kituo kidogo cha Polisi kilichopo Kata ya Mkiwa ili kituo hicho kikamilike na kisaidie kuimarisha usalama wa wananchi. Mtaturu ameuliza swali hilo Juni 12,2024,Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha maswali na…

Read More

KIJIWE CHA SALIM SAID SALIM: Namba 10 Argentina yazua mzozo

MASHINDANO ya 48 ya kandanda ya Kombe la Amerika ya Kusini, Copa America, yatakayofanyika Marekani kuanzia Juni 20 hadi Julai 24 yanasubiriwa kwa mengi, mbali ya kujua nani atalibeba kombe hili litakaloshindaniwa na mataifa 16. Lakini moja lililozusha shauku kubwa ni je, mchezaji maarufu wa Argentina, Lionel Messi, ambaye sasa ana miaka 36 atastaafu kulichezea…

Read More

RAIS SAMIA AFUNGUA NCHI KIMATAIFA

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Doto Biteko amekutana na Naibu Waziri wa Nishati wa Marekani Mhe. David Turk kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo uwekezaji katika Sekta ya Nishati nchini. Mkutano huo umefanyika Juni 12, 2024 jijini Dar es Salaam na kubainisha maeneo kadhaa…

Read More

Mourinho apewa mwaka Yanga PrIncess

MWANZONI mwa mwezi huu tuliripoti, ishu ya Kocha Mkuu wa Yanga Princess, Mzambia Charles Haalubono anatarajiwa kutimka kikosini hapo na kumpisha Edna Lema ‘Mourinho’. Sasa habari za uhakika ni kwamba baada ya mazungumzo ya muda mrefu hatimaye Mourinho amekubaliana na viongozi wa timu hiyo kuinoa kwa msimu ujao. Mmoja wa viongozi wa Yanga (jina tunalo)…

Read More