PROF. MAKUBI RASMI BENJAMIN MKAPA HOSPITAL
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) Prof Abel Makubi leo ameripoti rasmi Hospitali hii ya Rufaa iliyoko Makao Makuu ya nchi Dodoma. Prof Makubi anachukua nafasi hiyo kufuatia uteuzi uliofanywa Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, tarehe 4 Juni baada ya Dkt Alphonce Chandika kumaliza muda wake. Akiongea baada ya kukabidhiwa ofisi, Prof…