Chongolo: Ajenda ya lishe iwe ya kudumu Songwe
Songwe. Mabaraza ya madiwani mkoani Songwe yametakiwa kubeba ajenda ya lishe kwenye vikao ili kukabiliana na tatizo la udumavu na utapiamlo kwa watoto chini ya miaka mitano unaoukabili mkoa huo. Wito huo umetolewa leo Juni 12 na mkuu wa mkoa huo Daniel Chongolo kutokana na takwimu kuonyesha kuwa asilimia 31.9 ya watoto chini ya umri…