MFUKO WA UWEKEZAJI WA PAMOJA (TIMIZA FUND) WAZINDULIWA ZANZIBAR
Na Fauzia Mussa- Maelezo. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Dkt. Saada Mkuya Salum amesema Mfuko wa uwekezaji wa pamoja TIMIZA FUND utaisaidia Serikali kuhakikisha inawashirikisha Wananchi wake katika uwekezaji na shughuli za kiuchumi kwa lengo la kuboresha kipato cha kuendesha Maisha yao. Katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake huko katika Ukumbi…