Wasanii 10 kuwezeshwa kwa kupewa mafunzo na vifaa kukuza sanaa zao
Wasanii kumi tofauti kutoka katika taaluma mbalimbali za ubunifu wanatarajiwa kuwezeshwa kwa kupewa mafunzo, vifaa na ujuzi wa kutumia nguvu yao ya sanaa kwa ajili ya mabadiliko ya kijamii. Fursa hiyo inatajwa kuwa muhimu kwa Wasanii kujihusisha kwa kina na masuala muhimu ya kijamii, kutumia vipaji na talanta zao za ubunifu ili kuleta matokeo yenye…