RAIS SAMIA AMUAGIZA MSAJILI WA HAZINA KUFUATILIA HESABU ZA MASHIRIKA YOTE KWENYE MFUMO
Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya Taasisi na Mashirika ya Umma kutoa gawio na michango kwa Serikali iliyofanyika Ikulu, jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Msajili wa Hazina, Thobias Makoba, akizungumza wakati wa hafla ya Taasisi na Mashirika ya Umma kutoa gawio na…