NAIBU KATIBU MKUU MNDEME ACHAGIZA AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme amesema ajenda ya kutumia nishati safi ya kupikia ni uchumi kwani inaokoa muda wa kutafuta kuni na kujikita kwenye shughuli za kujiingiza kipato. Akizungumza kwenye kipindi cha Uhifadhi wa Mazingira (UHIMA) kilichotayarishwa na kituo cha televisheni cha Channel Ten hivi karibuni, amesema nishati…