Lala salama Championship ya jasho na damu
Ni fursa nzuri kwa Pamba kumaliza unyonge wa miaka 22 wa kukaa bila kushiriki Ligi Kuu itakapokabiliana na Mbuni FC kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha kuanzia saa 10 jioni, leo. Ushindi katika mechi hiyo utaifanya Pamba ambayo mara ya mwisho kushiriki Ligi Kuu 2002, kuchukua nafasi moja iliyobaki katika Ligi ya Championship…