Staa wa Pamba Jiji hatihati Championship
WAKATI pazia la Ligi ya Championship likifungwa rasmi leo, kiungo mshambuliaji na kinara wa mabao wa Pamba Jiji, Haruna Chanongo huenda akakosa mchezo wa mwisho wa ligi hiyo dhidi ya Mbuni FC kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya nyama za paja. Chanongo aliyewahi kuwika Simba, Mtibwa Sugar na Ruvu Shooting, ndiye kinara wa mabao wa…