Admin

VIDEO: Asimulia masaibu kuchomwa moto sehemu za siri na mumewe

Mtwara.  Hakika sio rahisi kusikiliza simulizi ya Elizabeth Hashim (38),  mkazi wa kijiji cha Makong’onda Wilayani Masasi mkoani Mtwara. Moja ya matukio makubwa ya ukatili aliyopitia kwenye ndoa yake ni kuchomwa moto sehemu zake za siri na baada ya kujiuguza na kupona, akaingizwa panga. Ilifika hatua mwanamke huyo aliona kuwa kipigo, manyanyaso na mateso kwenye…

Read More

Axel Witsel bado yupo sana Atletico Madrid

KIUNGO Axel Witsel, 35, ambaye amerejea tena kutoka kustaafu ili kuichezea Ubelgiji katika michuano ya Euro, amefikia makubaliano ya kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kusalia kwenye viunga vya Atletico Madrid. Mabosi wa Atletico wamevutiwa na kiwango cha Witsel alichoonyesha msimu uliomalizika ambapo alicheza mechi 51 za michuano yote. NEWCASTLE inapambana kuhakikisha inaipata saini ya beki…

Read More

WASTAAFU WAASWA KUWA MAKINI NA MATAPELI

Afisa Mkuu Mwandamizi Idara ya Uendeshaji wa Sekta ya Fedha, Bw. Salim Kimaro akitoa elimu ya kujipanga kuhusu maisha ya kustaafu iliyofanyika katika Ukumbi wa Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa. Na. Eva Ngowi, WF, Rukwa Serikali imewaasa Wastaafu na Wastaafu watarajiwa kuwa makini na matapeli, kuanzisha biashara wasizokuwa na uzoefu…

Read More

DC SAME AKERWA NA KUZAGAA KWA TAKA MJI MDOGO SAME.

NA WILLIUM PAUL, SAME.  MKUU wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni ameeleza kukerwa na uchafu unaotupwa kwenye mitaro pembezoni mwa barabara za mitaa kwenye mji huo na kumtaka mtendaji wa Mji mdogo Same kujitathimini juu ya utendaji wake. Ameyasema hayo alipofanya ziara ya kushtukiza kukagua barabara saba za Mitaa zenye urefu wa Km…

Read More

UMEMWONA? Mjeshi wako Euro 2024

MUNICH, UJERUMANI: MIKIKIMIKIKI ya fainali za Euro 2024 muda uliobaki kwa michuano hiyo kuanza hata wiki haifiki, huku macho na masikio ya wapenda soka duniani yataelekezwa kwa mataifa 24 yakayoonyeshana ubavu kwenye vita hiyo ya kusaka ubingwa wa Ulaya. Kila nchi shiriki inahitajika kuwa na wachezaji 26  huku watatu kwenye kila kikosi wakiwa makipa. Utepe…

Read More