Malisa, Boniface waendelea kushikiliwa, Polisi wasema dhamana yao ipo wazi
Dar es Salaam. Wakili wa Meya wa zamani wa Ubungo, Jacob Boniface na Mwanaharakati, Godlisen Malisa, Hekima Mwasipu amesema kuwa atafungua kesi kudai haki ya wateja wake. Wakili Mwasipu amesema hayo baada ya wateja wake hao kunyimwa dhamana huku akisema haoni sababu ya kuendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi. Hata hivyo Kamanda wa Kanda Maalumu…