Serikali: Fedha zinazotumika kukarabati viwanja vya CCM zitarudi kwa umma
Dodoma. Serikali ya Tanzania imewaondoa hofu Watanzania kuwa fedha zitakazotumika kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) zitarejeshwa kwa umma, ili zitumike kufanya mambo mengine. Katika hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya aliyekuwa Wazira ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohammed Mchengerwa, aliomba Bunge kuwaidhinishia Sh10 bilioni katika mwaka 2022/23 kwa…