MIAKA 60 YA MUUNGANO: Rais Samia ahimiza falsafa ya 4R kuuenzi
Nora Damian na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Rais Samia Suluhu Hassan amesema ili muungano uendelee kudumu Watanzania hawana budi kuitekeleza falsafa ya maridhiano, kuvumiliana, mageuzi na kujenga nchi. Amesema kutekelezwa kwa falsafa hizo kutajenga amani na utulivu wa kudumu nchini na kuleta maendeleo endelevu. Akizungumza leo Aprili 26,2024 wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka…