TBS YAWATAKA WAZALISHAJI WA BIDHAA ZA CHUMA KUZINGATIA MATAKWA YA VIWANGO
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wazalishaji wa bidhaa za Chuma aina ya Flat Bars, Square and Round Pipes kuzalisha na kuuza bidhaa zilizokidhi viwango ili kuepuka madhara ya kiafya na kiuchumi. Wito huo umetolewa leo Juni 10,2024 na Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dlt. Athuman Ngenya wakati wa Mkutano…