SERIKALI IMELIPA WAZABUNI KIASI CHA SH. BILIONI 949 HADI MACHI, 2024
Na. Peter Haule, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa hadi Machi 2024 imelipa jumla ya shilingi bilioni 949.31 sawa na asilimia 92 ya madeni ya wazabuni wa bidhaa na huduma pamoja na wakandarasi yaliyohakikiwa kati ya madai yaliyowasilishwa yenye thamani ya shilingi trilioni 1.03. Hayo yamesemwa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Fedha, Mhe….