PROF.LOKINA AFUNGUA KONGAMANO LA POLLEN2024 JIJINI DODOMA
NAIBU Makamu Mkuu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Taaluma, Utafiti na Ushauri Prof. Razack Lokina ,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua Kongamano la Mtandao wa Ekolojia ya Kisiasa POLLEN2024, linalolenga kushughulikia migogoro ya kijamii na kiikolojia katika kuchunguza njia za kufikia mustakabali wenye haki na utofauti zaidi. NAIBU Makamu Mkuu Chuo…