DC Ileje apiga marufuku vyandarua kujengea bustani
Ileje. Mkuu wa Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, Farida Mgomi amewaagiza viongozi wa vijiji kusimamia wananchi kutotumia vyandarua kujengea bustani za mbogamboga. Mgomi ametoa agizo hilo katika maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani ambayo kwa Wilaya ya Ileje yalifanyika jana Aprili 25, 2024 katika Zahanati ya Isongole, Kijiji cha Isongole, Kata ya Isongole. Katika maadhimisho…