Polisi yawashikilia Meya wa zamani Jacob, Malisa, kwenda kupekuliwa Dar, Moshi
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia Meya wa zamani wa Ubungo, Jacob Boniface na Mwanaharakati Godlisen Malisa kwa tuhuma za uchochezi, baada ya wawili hao kuitikia wito wa polisi. Polisi wamedai hatua hiyo ni kinyume na kifungu 16 cha sheria ya mwenendo wa makosa mtandao. Hayo yamesemwa leo…