Wanayopitia wanawake, wanaume wanaoachana katika kumtunza mtoto
Dar es Salaam. Wakati wimbi la watoto wanaolelewa na mzazi mmoja likiendelea kushika kasi kutokana na ongezeko la wazazi na wenza kutengana baada ya kupata mtoto, imebainika wenza hao hupitia madhila katika mchakato wa malezi ya watoto hao. Miongoni mwa madhila hayo ni kushindwa kuaminika hasa wanapoingia kwenye uhusiano mpya na kujikuta wakiishia kuingia kwenye…