Mama wa mtoto mwenye ualbino aliyeibiwa aliangukia Jeshi la Polisi
Muleba. Judith Richard (20), Mama mzazi wa mtoto mwenye ualbino, Asimwe Novath (2) aliyeibiwa na watu wasiojulikana akiwa sebuleni kwao Kitongoji cha Mbale Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, ameliomba Jeshi la Polisi kuwabana watuhumiwa linaowashikilia ili waseme mtoto wake alipo. Mama huyo amedai kuwa miongoni mwa wanaoshikiliwa yupo aliyemchukua mtoto wake siku 10 zilizopita ndani…