Kiungo Azam atajwa Yanga, mchongo mzima upo hivi
SIKU chache baada ya sintofahamu ya kukosa saini ya kiungo, Yusuph Kagoma, mabosi wa Yanga wapo kwenye mchakato wa kuibomoa Azam FC kwa kumnasa kiungo fundi, Adolf Mtasingwa aliyebakiza mkataba wa miezi sita kuitumikia timu hiyo. Mwanaspoti linafahamu, Yanga kwa usiri mkubwa imeanza mazungumzo na kiungo huyo aliyekuzwa timu ya Vijana ya Azam aliyeng’ara katika…