Sababu aliyekuwa CDF Kenya kuzikwa bila jeneza
Dar es Salaam. Marehemu Francis Ogalla aliyekuwa Mkuu wa Majeshi nchini Kenya, atazikwa pasipo mwili wake kuwekwa kwenye jeneza, kaka yake mkubwa Canon Hezekiah ameeleza. Jenerali Ogalla alifariki dunia Aprili 18, 2024 baada ya helikopta aliyokuwa akisafiria pamoja na maofisa wengine tisa wa Jeshi kuanguka. Kifo cha kiongozi huyo mkuu wa Jeshi nchini Kenya kilitangazwa…