Admin

Taifa Stars ipo tayari kuivaa Zambia

TAIFA Stars jana ilijifua kwa mara ya mwisho katika kujiandaa na mchezo wa tatu wa kuwania kufuzu ushiriki wa fainali za Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Zambia utakaopigwa Jumanne, huku mastaa karibu wote wakionyesha wanaitaka mechi hiyo itakayopigwa ugenini. Jana asubuhi kikosi hicho chini ya makocha Hemed Suleiman ‘Morocco’ na Juma Mgunda kilipiga tizi…

Read More

Kiraka Azam huyoo anukia Al Hilal

BAADA ya kumaliza mkataba wa kuitumikia Azam FC, kiraka Edward Charles Manyama anatarajia kutimkia Al Hilal ya Sudan tayari kwa kukipiga huko msimu ujao. Manyama juzi kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook aliwaaga mashabiki, wachezaji na viongozi wa timu hiyo akithibitisha kumaliza mkataba na timu hiyo aliyoitumikia kwa mkataba wa miaka miwili….

Read More

Ufaransa kuifunza Ukraine kutumia ndege za kivita za Mirage – DW – 08.06.2024

Macron Amesema hayo baada ya mazungumzo na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky katika makazi ya rais ya Élysée jijini Paris. Macron hata hivyo bado hajaainisha idadi ya ndege ambazo Ufaransa na mataifa mengine wanataraji kuzipeleka Ukraine ambayo inapambana na Urusi. Soma pia: Macron na Scholz wazungumzia mzozo wa Ukraine Ufaransa bado inahitaji kuhitimisha mchakato huo kwa…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Azam yatua Yanga, Kipa azam …

KIPA wa Yanga, Aboutwalib Mshery amemaliza mkataba wake ndani ya kikosi hicho huku akisubiria viongozi kujua hatima yake msimu ujao, huku klabu ya Azam ikitajwa kumfukuzia. Duru za kimichezo zinasema wawakilishi wa mchezaji huyo, tayari wameanza mazungumzo na klabu kadhaa huku ikielezwa Azam ni kati ya zinazomhitaji kwa kilichoelezwa mipango ya kumrejesha Aishi Manula huenda…

Read More