DIWANI WA KATA YA CHEYO AFIKISHWA MBELE YA BARAZA LA MAADILI
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imemfikisha Bw. Yusuph Khamis Kitumbo Diwani wa Kata ya Cheyo Halmashauri ya Manispaa ya Tabora mbele ya Baraza la Maadili kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa muda wa miaka minne mfulululizo. Kikao hicho cha Baraza la Maadili kilifanyika tarehe 7 Juni, 2024…