DKT. TULIA- RAIS SAMIA AMEFANIKISHA KWA KIASI KIKUBWA KAMPENI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhiwa tuzo maalumu kwa kutambuliwa mchango wake katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, tuzo ambayo imetolewa na wabunge wanawake kwa kushirikiana na Kampuni ya Oryx Gas Tanzania kwenye Maadhimisho ya Siku ya Nishati Safi Kupikia Duniani Akizungumza leo Juni 7,2024 katika maadhimisho hayo Spika wa Bunge Dk.Tulia Ackson…